Eng. Hersi Said amepita kwenye mchujo wa kuwania kugombea nafasi ya Urais wa klabu ya Yanga.
Eng. Hersi Said
Eng. Hersi Said

Yanga SC, wametoa orodha ya majina ya waliopitishwa kwenye mchujo wa awali kuwania nafasi za uongozi ikiwa pamoja na Rais, Makamu wa Rais na Wajumbe wa Kamati ya Utendaji.

Eng. Hersi hadi sasa hana mpinzani kwenye nafasi hiyo ya Urais, huku Makamu aliyepitishwa ni Arafat Haji pamoja na Suma Mwaitenda.


ALIYA’S WISHES

Bila shaka unatamani ushindi mkubwa, vipi kuhusu kujaribu Sloti hii ya Aliya’s Wishes? jaribu ushinde sasa.Kasino ya Mtandaoni

CHEZA SASA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa