KOCHA wa Simba Fadlu Davids amezungumza kuelekea mchezo wa kesho dhidi ya Yanga, na kusema hauchukulii mchezo huo kawaida bali anhitaji ushindi tu. Jisajili hapa kuwa wa kwanza kushinda Mamilioni ya Meridianbet kila siku.
Fadlu ameyasema hayo leo katika kikao na Waandishi wa Habri kuelekea mchezo wa Kariakoo Dabi, Nusu fainali utakaopigwa katika dimba la Benjamin Mkapa majira ya Saa 1:00 Usiku.
“Tunavipaji vingi kwenye timu na tunaendelea kujenga umoja tunachukua mchezo huu kama michezo mingine na hatuna presha.
“Tunaingia kucheza kwa ajili ya kushinda na ni mchezo utaotupa picha ya kuelekea msimu ujao nimi cha kufanya zaidi ?
“Hii ni timu mpya na project mpya mechi tulizocheza zinaendelea kutujenga na taratibu tutaendelea kuimarika.
Hatuwezi kuzuia muda wote wala kushambulia muda wote lakini tutatengeneza mpango ambao tutaweza kushinda” Amesema Kocha Mkuu wa Simba- Fadlu
Beti na Meridianbet kwa ushindi mkubwa na odds kubwa, Ligi zinakaribia kuanza, usije kupishana na gari la Mshahara.
Mchezo huo unatazamwa kwa jicho la kipekee zaidi kwa mashabiki wa Simba, ambao msimu uliopita walipokea kipigo mara mbili, jumla ya mabao 7, hivyo wanahitaji kurejesha heshima yao iliyopotea.
Michezo ya Kasino na Sloti ni machimbo yanayotoa pesa kirahisi. Cheza kasino hapa.