GAMONDI ATOA NA NENO LA MATUMAINI YANGA

KOCHA Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi amesema kuwa, najua ana mchezo ngumu dhidi ya Mamelodi, lakini anajivunia uzoefu wake wa kucheza mechi ngumu na Muhimu.

Gamondi amesema, anajua siyo kazi rahisi iliyopo mbele Yao, Kwa kuwa Wanakwenda kucheza na Timu Bora zaidi Kwa Sasa Afrika, lakini Haina maana kuwa timu ikiwa Bora haiwezi kufungwa.gamondi“Tabia ya mpira wa Miguu ipo tofauti kidogo, hakuna timu ambayo haifungwi, hakuna timu ambayo haifanyi makosa. Hivyo Mamelodi wanaweza kufungika.

“Najua namna ya kucheza mechi kama hizi, hivyo mashabiki wasiwe na hofu kabisa juu ya mchezo huu, waje Uwanjani kuisapoti timu yao,” alisema Gamondi.

Acha ujumbe