Geita Gold Kumenyana Dhidi ya Tabora United

Mechi nyingine ya Ligi kuu Tanzania ni ile inayowakutanisha Geita Gold dhidi ya Tabora United majira hayo hayo ya saa 10:00 jioni katika dimba la Nyankumbu.

 

Geita Gold Kumenyana Dhidi ya Tabora United

Geita Gold yupo nafasi ya 15 kwenye msimamo wa ligi baada ya kucheza mechi zake nane hadi sasa huku akihsinda mchezo mmoja pekee, akitoa sare zake tatu na kupoteza mara nne na pointi sita hadi sasa.

Aviator, poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao upige pesa na Meridianbet. Ingia www. meridianbet.co.tz.

Geita Gold Kumenyana Dhidi ya Tabora United

Wakati Tabora yeye yupo nafasi ya 8 wakiwa na pointi zao 10 wakishinda michezo yao miwili, sare nne na kupoteza michezo miwili hadi sasa kwenye ligi.

Je Wachimba Dhahabu leo hii watafanya nini wakiwa nyumbani?. Je watakubali kichapo au watapata ushindi kujiokoa kwenye nafasi waliyopo?

Acha ujumbe