Geita Gold Kuzichapa Dhidi ya Dodoma Jiji Leo

Ligi kuu ya NBC kuendelea hii leo kwa michezo mitatu ambapo mchezo wa mapema zaidi utakuwa ni kati ya Geita Gold dhidi ya Dodoma Jiji katika dimba la Nyankumbu majira ya saa 8:00 mchana.

 

Geita Gold Kuzichapa Dhidi ya Dodoma Jiji Leo

Geita Gold anashikilia nafasi ya 12 baada ya kucheza mechi zake 5 akiwa ameshinda mechi moja pekee, akisare moja na kupoteza michezo mitatu kwenye ligi hadi sasa huku wakikusanya pointi 4 pekee.

Aviator, poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao upige pesa na Meridianbet. Ingia www. meridianbet.co.tz.

Wachimba Madini hao wametoka kupoteza mechi tatu mfululizo kwenye ligi, hivyo leo hii wanapambania alama tatu muhimu wakiwa nyumbani ili kujinasua kwenye nafasi waliyopo.

Geita Gold Kuzichapa Dhidi ya Dodoma Jiji Leo

Wakati kwa upande wa Dodoma Jiji wao wapo nafasi ya 11 kwenye msimamo baada ya mechi zao 5 walizocheza, wakishinda mechi 1 sare mbili na kupoteza mara mbili wakikusanya pointi 5 pekee.

Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

Hivyo tofauti ya pointi kati yao mpaka sasa ni moja pekee huku mara ya mwisho kukutana, mwenyeji aliondoka na ushindi. Je leo hii nani kuondoka kidedea?

Acha ujumbe