Haji Manara Kupitia kurasa wake rasmi wa instagram ameandika ujumbe mzito wenye lengo la kuwafunza watu nanmna nzuri ya kuweza kushusha presha ya maneno yanayosemwa kutoka kwa wanashindana nawe,
Haji Manara
Haji Manara

Katika ujumbe huo haji ameaandika

”Ruhusu wakuseme ili wajulikane,bila ww hakuna kiki mjini, Ruhusu wajaribu kukushusha ili na wao wapande,
Ruhusu jina lako liwe ajenda yao ya kila siku ili na wao wasikike

Bila kukudiss wewe mitandaoni, likes na comments ni za kutafuta,,Bila kukudiss ww redioni hawasikiki.

Muhimu usikubali kutoa kiki nyingine, ulizotoa zimetosha,,usiwe rahisi kuwapa umaarufu Kwa kutumia jina lako.

Itoshe sasa kuhangaika na kazi yako,,unao ufuasi mkubwa mitandaoni ,,Waache Fans watashughulika nao.

Haji Manara
Haji Manara

By the way lini ushawahi kuangushwa na ngonjera za mitandaoni? Sanasana endorsements zinazidi kuongezeka na mafanikio kikazi hakuna anaekusogelea.

Ulipofika ww wao hata ndotoni hawajahi kufika,,ukiwajibu tena ntakuona mtu wa hovyo kuliko wao,,unadhani na wao hawahitaji kufika ulipo?

‘why ujibizane nao mwanangu? ‘
Alimaliza kuniusia jirani yangu ambae ni Mzee wa makamo asubuhi hii.

Nimepokea 🙏🏻”


ALIYA’S WISHES

Bila shaka unatamani ushindi mkubwa, vipi kuhusu kujaribu Sloti hii ya Aliya’s Wishes? jaribu ushinde sasa.Kasino ya Mtandaoni

CHEZA SASA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa