KIKOSI Cha Taifa Stars kipo zake kwenye ardhi ya Azerbaijan barani Ulaya kikijifua na michezo ya FIFA Series, lakini kilio kikubwa Kwa wachezaji ni hali ya hewa. Odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni njia rahisi ya kukupa mtonyo mrefu. Ingia mchezoni hapa.
Wachezaji wengi ambao wametoka Tanzania (Taifa Stars) ukiachilia mbali wale wachache wanaocheza nje ya Afrika, wamekiri kuteswa na baridi kali inayochapa Kwa kipindi hiki.
“Mazoezi ya huku yanaendelea vizuri, lakini changamoto pekee ni hali ya hewa. Baridi ni Kali sana huku kiasi ambacho tunafanya mazoezi tukiwa na Makoti makubwa,” alisema Aishi Manula.
Mashindano hayo yanazikutanisha timu mbalimbali kutoka mataifa 20 kote duniani ambapo ukanda wa kusini kuna Tanzania (Taifa Stars) na Afrika Kusini mshindi wa tatu AFCON 2023 ambapo Tanzania tupo kundi moja na nchi kama Bulgaria, Mongolia, na Azerbaijan. Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.