Rais wa Klabu ya Yanga Eng Hersi Said amesema kuwa aliyehusika kumlaghai kiungo hatari Zanzibar Finest Feisal Salum ‘Fei Toto’ anatakiwa apigwe vita. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na Roulette- Chagua Tukupe.
Hersi aliyasema hayo leo kwenye kipindi cha Leo tena cha Clouds FM alipokuwa akizungumzia sakata la mchezaji huyo, ambaye mpaka sasa ana mgogoro wa kimkataba na timu yake ya Yanga. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.
“Kuna taratibu zinaweza kufanyika mchezaji akaenda kwenye Klabu nyingine lakini sio mtu anapita anamlaghai mchezaji. Simlaumu Feisal na kama kuna mtu wa hivyo anatakiwa apigwe vita, huyo ni adui wa maendeleo ya mchezaji na maendeleo ya mpira kwa ujumla”-Eng Hersi
Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.