Ibenge Atoa Neno Kuelekea Mchezo wao wa Kesho Dhidi ya Simba.

KOCHA Mkuu wa Al Hilal ya Sudan Florent Ibenge amesema kuwa maandalizi ya mchezo wa kesho yapo tayari na wachezaji wake wamepanga kuonyesha ubora wao mbele ya Simba. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet.

 

ibenge

Kesho katika dimba la Mkapa utachezwa mchezo huo wa kirafiki kati ya mwenyeji Simba SC, na Al Hilal ikiwa ni mchezo wa kujiandaa na mechi za hatua ya makundi ya klabu Bingwa Afrika (CAFCL).

Ibenge alisema kuwa malengo yao sio kwenye mchezo wa Simba SC bali wataonesha kiwango bora, kabla ya kusafiri kwenda Afrika Kusini kucheza na Mamelod Sundowns. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kubashiri.

 

simba

“Naijua Simba vizuri sana kesho kutakuwa na mechi kubwa, hata wao wanaenda kujiandaa na mchezo dhidi ya Horoya na sisi baada ya mchezo huu tutasafiri kwenda kucheza na Mamelod Sundowns”-Florent Ibenge

“Nafikiri utakuwa mchezo mzuri wa kirafiki, isitoshe lengo letu sio mchezo wa kesho, lengo letu ni kucheza mchezo wa tarehe 11 dhidi ya Mamelod Sundowns, kesho tutaenda kujiandaa na kuonesha kitu, tulionesha dhidi ya Azam na kesho tutaonesha kitu kingine dhidi ya Simba”

Al Hilal inayonolewa na Ibenge waliweka kambi fupi hapa Tanzania wakiajiandaa na mchezo wao wa kwanza hatua ya makundi dhidi ya Mamelod, kabla ya mchezo wa kesho wa Simba walicheza na Namungo na kutoa sare ya 1-1, mchezo dhidi ya Azam walishinda 1-0, kesho itakuaje? Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, Usikose hii!!

Baada ya mchezo huo wa kirafiki, Simba watasafiri kwenye Guinea kwenye mchezo wa hatua ya kwanza tarehe 11, kabla ya kurudiana kwenye dimba la Mkapa. Pata Odds za soka ukiwa na Meridianbet.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.