ISHU YA KIBU DENIS NA YANGA IKO HIVI

ASUBUHI ya leo, kumeibuka taarifa juu ya mshambuliaji wa Simba Kibu Denis kutakiwa na klabu ya Yanga.

Taarifa zinadai kuwa, Yanga wamemuandalia mkataba wa miaka mitatu wenye thamani ya milioni 300 na atakua akikunja milioni 12 kwa mwezi.kibu denisHuku ikielezwa kuwa Simba wameshtuka na wanapambana kumbakiza Mchezaji huyo klabuni hapo, lakini Kibu Denis bado hajafanya maamuzi yoyote hadi Sasa.

Meridian Sports ilimtafuta mmoja wa viongozi wa Yanga Ili kujua undani wa taarifa hizo, naye alisema ni kweli mchongo huo upo na Yanga wanamtaka, huku akiomba hifadhi ya jina lake.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.