UONGOZI wa Klabu ya Yanga SC umetangaza kumuongeza majukumu kocha wao msaidizi wa timu ya wakubwa Cedric Kaze, ambaye atahudumu kama Mkurugenzi Mkuu wa Timu za Vijana pamoja na Yanga Princess.

 

KAZE

Taarifa rasmi kutoka kwenye klabu ya Yanga iliyotolewa Mchana wa Tarehe 16/11/2022 ilieleza kuwa majukumu ya Kaze Yameongezwa tofauti na hapo awali. Odds kubwa za meridianbet.

“Uongozi wa Yanga SC umemteua kocha msaidizi Cedric Kaze kuwa Mkurugenzi wa Ufundi wa timu za vijana chini ya umri wa miaka 17-20 na timu ya wanawake ya Yanga Princess, huku akiwa anaendelea na majukumu yake kama kocha msaidizi kwenye timu kubwa”. Tazama odds bomba na kubwa hapa.

 

View this post on Instagram

 

A post shared by Young Africans Sports Club (@yangasc)


Kaze anachukua nafasi hiyo iliyokuwa chini ya aliyekuwa kocha mkuu wa klabu hiyo Mwinyi Zahera, ambaye arirejeshwa klabuni hapo na kupewa nafasi hiyo, kabla ya Uongozi wa Yanga kuamua kuachana nae hivi karibuni. Odds bomba zinapatika hapa.

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa