Kazi Inapigwa Stars, Kuwasaka Ethiopia

KAIMU Kocha Mkuu wa Taifa Stars Hemed Morocco amesema kuwa Wachezaji wake wanaendelea kufanya maandalizi sahihi kuelekea kwenye mechi dhid iya Ethiopia kuwania kufuzu Kombe la Dunia. Jisajili hapa kuwa wa kwanza kushinda Mamilioni ya Meridianbet kila siku.

Morocco amesema asilimia 100 ya wachezaji Wote wa ndani wameshaingia kambini na wanasubiri baadhi ya wachezaji wa Kimataifa na wao kuweza kuingia kambini.

Stars wanatarajia kucheza na Ethiopia Dar Septemba 4 kabla ya kuvaana na Guinea siku za mbeleni.

Beti na Meridianbet kwa ushindi mkubwa na odds kubwa, Ligi  zinakaribia kuanza,  usije kupishana na gari la Mshahara.

“Kila kitu kinakwenda vizuri kwenye timu, wachezaji wanaocheza Ligi ya ndani Wote wapo kambini tayari, tunasubiri wale Wachache wanaocheza nje kuweza kuungana na wenzao,” alisema Morocco.

Kasino ya Mtandaoni usipange kuacha kucheza, Meridianbet wameakuandalia Maokoto na bonasi za kasino kibao.

Acha ujumbe