Klabu ya KMC inatarajia kumkaribisha Mbeya City hii leo katika mchezo wao wa raundi yao ya 15 wa Ligi kuu ya NBC katika mchezo huo ukitarajiwa kupigwa majira ya saa 10:00 jioni katika Uwanja wa Uhuru.

 

KMC Anaweza Kushinda Hii Leo Mbele ya Mbeya City?

KMC wana hali ngumu baada ya kuwa hawajashinda mechi zao sita zilizopita huku wakiwa na pointi 15 tu baada ya kuwa wamecheza michezo yao 10 ushindi mara tatu, sare sita na kupoteza mara tano.

Wakati kwa upande wa Mbeya City wao wamecheza mechi 14, wameshinda michezo minne, sare saba na wamepoteza michezo mitatu wakijivunia pointi 19 katika msimamo wa ligi kuu ya Tanzania Bara.

Mechi iliyopita Kmc walipata sare wakiwa nyumbani kwao wakati Mbeya City wao wakipoteza mbele ya Yanga bila hata kupata bao huku mechi ya mwisho kukutana timu hizi mbili Wanakino Boys waliibuka na ushindi.

KMC Anaweza Kushinda Hii Leo Mbele ya Mbeya City?

Je hii leo vijana wa Thiery Hitimana watafanya nini mbele ya Wanakoma kumwanya ambao wametoka kujeruhiwa na mabingwa watetezi wa Ligi?


Je wewe hucheza Kasino Mtandaoni na umekuwa ukijiuliza ni mchezo gani rahisi na mzuri kwa ushindi? Basi Usihangaike Aviator ni rahisi zaidi kucheza na kushinda, kingine cha zaidi ni kwamba Aviator Bonanza imerudi tena Cheza zaidi ujiweke kwenye nafasi ya kushinda Samsung A23.

BONYEZA HAPA KUCHEZA

 

 

KMC, KMC Anaweza Kushinda Hii Leo Mbele ya Mbeya City?, Meridianbet

 

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa