Klabu ya KMC imesema kuwa kesho imejiandaa kwenda kuchukua pointi 3 kwenye mchezo wao wa Ligi kuu ya NBC ambapo watakuwa wakicheza dhidi ya Dodoma Jiji majira ya saa 10:00 jioni.

 

KMC: "Kesho Tunakwenda Kuchukua Pointi 3"

KMC wametoka kupata sare mechi yao ya mwisho na kesho wabahitaji ushindi wakiwa nyumbani wao ambao hawajaupata ndani ya mechi 3 huku wakishikilia nafasi ya 8 katika msimamo.

Wamecheza mechi 11, wameshinda michezo mitatu, wamesare mara tano na kupoteza mara tatu huku wakiwa na pointi 14 tuu. Huku Dodoma Jiji wao wakiwa nafasi ya 15, baada ya kucheza michezo 10 ushindi mara moja, droo tatu kupoteza mara sita na pointi 6.

KMC: "Kesho Tunakwenda Kuchukua Pointi 3"

Mara ya mwisho kukutana timu hizi mbili kwenye Ligi, Dodoma aliondoka na pointi 3 akiwa nyumbani kwake.

beti na kitochi

Ulishawahi kuwaza kuwa rubani wa maisha yako!! Kuwa rubani wa mchezo pendwa wa Aviator wa kasino mtandaoni. Aviator bonanza inazidi kutoa michongo ya mkwanja kwenye nyumba ya mabingwa. Unarusha ndege yako na unashinda, kuwa rubani wa kujivunia kwa kuibuka na mkwanja leo.

BONYEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa