Klabu ya KMC ambayo ipo chini ya kocha mkuu Thiery Hitimana ianatarajia kualikwa na Singida Big Stars nyumbani kwake kukipiga kwenye Ligi kuu ya Tanzania baada ya kupoteza mchezo wake uliopita.

 

KMC Kumfuata Singida Nyumbani

KMC wapo nafasi ya 10 huku wakiwa na mwendelezo mbaya wa matokeo hadi sasa kwani wameshindwa kupata ushindi mechi nne mfululizo huku mechi yao ya mwisho kushinda ni ile waliyocheza dhidi ya Azam.

Wakati Singida wao wametoka kutoa sare mchezo wake uliopita na kuwafanya wasalie katika nafasi ya saba ya msimamo huku wakiwa wamepoteza mechi tatu tu mpaka sasa na alama zao 18.

KMC wapo nafasi ya kumi baada ya kucheza michezo 12 waliyocheza na kujivunia alama 14 pekee huku wakiendelea kujitathmini nafasi ambayo waliyopo hivyo mchezo wa kesho wakiuhitaji zaidi.

KMC Kumfuata Singida Nyumbani

Ushindi wa kesho wa Sindiga utawafikisha hadi nafasi ya 5 huku walipa kodi wa Kinondoni wakifanikiwa kutwaa pointi tatu watapaa hadi nafasi ya 8.


 

Kombe la Dunia Linatimua Vumbi huko Qatar ni timu 32, sawa na mechi 64 zitapigwa kwenye viwanja tofauti. Meridianbet wana uwanja wao wa Kushiriki na wewe wakati Michuano hii inaendelea. Uwanja wa Machaguo Spesho ni Kwa ajili yako, wewe Bingwa wa Kubeti. Unaweza kubeti ni Timu gani itachukua Ubingwa, Timu gani Itaongoza kuwa na kadi nyingi za Njano na Nyekundu, au Timu gani itatoka mapema kwenye michuano hiyo. Uamuzi ni wako. Chaguo ni lako. Hii ipo mpaka mwisho wa Kombe la Dunia.

BONYEZA HAPA

 

 

kmc, KMC Kumfuata Singida Nyumbani, Meridianbet

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa