Mechi nyingine ya ligi kuu leo hii itakuwa ni hii inayowakutanisha kati ya JKT Tanzania kati ya KMC ambapo mchezo huu utapigwa majira ya saa 10:00 pia katika uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo.
JKT Tanzania wapo nafasi ya 13 kwenye msimamo wa ligi huku wakiwa na mwendelezo mbaya wa matokeo wakiwa meshinda mechi nne sare tano na kupoteza mara saba kwenye michezo 16 ambayo wamecheza.
Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa.
Wakati wanakino Boys wao wapo nafasi ya tano baada ya kuchza michezo yake 17, ushindi mara tano, sare nane, na kupoteza mara 4 pekee wakikusanya pointi zao 23 hadi sasa kwenye msimamo wa ligi.
Timu hiziz mbili kwenye mechi zao tano za mwisho ambazo wamecheza, hakuna hata mmoja ambaye kashinda zaidi ya sare na kupoteza tuu.
Na mara ya mwisho kukutana kati yao, KMC alishinda, huku leo meridianbet wakimpa nafasi kubwa ya kuondoka na alama tatu mwenyeji akiwa na ODDS 2.11 kwa 3.28. Je leo nani kuondoka kifua mbele?.