Mechi nyingine leo ni hii ya KMC ambaye atakuwa mgeni wa Singida Black Stars majira hayo hayo ya saa 10:00 jioni katika dimba la Liti huko Singida.
Singida Black Stars wameanza vyema mechi zao mbili za ligi ambapo wameshinda zote na kukusanya pointi 6 mpaka sasa huku timu hiyo ikiwa na wachezaji wenye uzoefu mkubwa akiwemo Israel Mwenda, Lyanga, Guede, Kyombo na wengine kibao.
Wakati kwa upande wa KMC wao wamecheza mechi moja pekee hadi sasa huku wakitpata pointi moja pekee baada ya kutoa sare dhidi ya Wagosi wa Kaya ya 1-1. Ikumbukwe kuwa Wanakino Boys wameachaana na aliyekuwa mfungaji wao bora msimu uliopita Waziri Junior.
Pia meridianbet inatoa michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, poker, Roullette, sloti na mingine kibao. Ingia meridianbet na ucheze sasa.
Mara ya mwisho kukutana, KMC alipoteza akiwa ugenini. Je leo hii anaweza akalipa kisasi huku pale kwa mabingwa wa ODDS KUBWA Tanzania kuna mechi nyingi amabzo unaweza kubashiri na kutusua pesa.