KMC Yatinga 16 bora ya Kombe la Shirikisho (FA)

Klabu ya KMC maarufu kama Kino Boys wamefanikiwa kutinga hatua ya 16 bora ya kombe la shirikisho la Azam, kwa kuwaondoa Kopco ya mkoani mkoani Mwanza kwa bao 1-0 Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet.

 

kmc

Goli la ushindi la KMC lilifungwa na Emmanuel Nvuyekule “Manu” na kuifanya timu hiyo kuungana na timu zingine kwenye hatua ya 16 bora kama vile Simba SC, Singida BS, African Sports ya Tanga, na Mbeya City ya Jijini Mbeya. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, Usikose hii!!.

Kocha mkuu wa KMC Thiery Hitimana alisema kuwa lengo la timu yake ilikuwa ni kufuzu hatua inayofuata. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kubashiri.

“Mechi kama hizi sio mechi za pointi, bali n mechi za kufuzu, lengo letu lilikuwa ni kupita na tumepita, tuliingia kwa lengo la kushambulia kwakuwa wapinzani wetu hawakuwa  wamejiandaa kwa hilo” Thiery Hitima

Acha ujumbe