Klabu ya KMC imetoshana nguvu na klabu ya Geita kwa sare ya bao moja kwa moja katika mchezo wa ligi kuu ya NBC uliopigwa mkoani Geita katika uwanja wa Nyankumbu.

Mchezo huo wa raundi ya 11 uliopigwa huko mkoani Geita ulishuhudia mechi hiyo kukosa mbabe baada ya kufungana goli moja kwa moja, Huku magoli ya Saido Ntibanzokiza na Waziri Jr kwa upande wa KMC yakifanya mchezo huo kumalizika kwa sare.

Katika mchezo huo mshambuliaji wa wanakinondoni kufunga bao lake la kwanza msimu huu huku hapo mwanzo hakua amepata nafasi ya kuifungia timu yake hiyo mpya akitokea Ddoma Jiji ya mkoani ya Dodoma.

Huku Mfungaji wa bao la Geita Gold mchezaji wa zamani wa Yanga Saido Ntibazokiza kufikisha jumla ya mabao matatu msimu huu kwenye ligi kuu ya NBC  huku akiwa pia amepiga pasi mbili za mabao hivo kumfanya kua na mchango wa mabao matatu mpaka sasa.

Baada ya klabu ya KMC  kucheza mchezo wa leo wafikisha alama 14 wakiwa nafasi ya nane huku Geita nao wakifikisha alama hizohizo wakiwa nafasi ya 10 ila wanakino wanakaa juu kwa tofauti ya magoli.

AVIATOR

Ulishawahi kuwaza kuwa rubani wa maisha yako!! Kuwa rubani wa mchezo pendwa wa Aviator wa kasino mtandaoni. Aviator bonanza inazidi kutoa michongo ya mkwanja kwenye nyumba ya mabingwa. Unarusha ndege yako na unashinda, kuwa rubani wa kujivunia kwa kuibuka na mkwanja leo.

BONYEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa