Kocha JKT TZ: Tuliingia Kwenye Mfumo wa Yanga

Yanga

KOCHA Mkuu wa Klabu ya JKT Tanzania, Malale Hamsini bila kusita wala kupepeza mdomo amesema wazi kuwa waliingia kwenye mfumo wa Yanga na kocha Miguel Gamondi na ndiyo maana walikuwa chuma 5-0. Ukiwa na meridianbet odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.

Malale amesema, mwanzo wa mchezo walijaribu kuwatega Yanga kwenye mchezo wa juzi Jumanne pale Azam Complex Chamazi, lakini kumbe mtego huo ulikuwa kama wao kujiingiza kwenye mfumo.

Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.

Akizungumza kwa hisia kali kocha Malale ambaye msimu uliopita alikuwa anainoa Polisi Tanzania alisema: “Kimsingi tuliingia kwenye mtego wa Yanga na tukafungwa goli tano.

“Walikuwa bora sana wenzetu kwenye dakika zote za mchezo ule, kimsingi tulifanya makosa na tukaadhibiwa magoli mengi na tutajifunza kupitia kilichotokea.”

Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

Malale aliongeza kuwa, alifanya makosa pia kwenye kufanya mabadiliko aliyoyafanya kipindi cha pili, wakiingia Hamisi Ndemla, Dany Lyanga na Ismail Aziz Kader ambao walishindwa kubadilisha hali ya mambo.

Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.

Acha ujumbe