Kuelekea Msimu Mpya, Simba, Yanga Wapewa Onyo.

Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi, Almas Kasongo amesema katika kanuni mpya za ligi faini ya kuhusu ushirikina imeongezeka pia lakini wataendelea kutoa Elimu ili vilabu viache haya kwani inachafua ligi. Jisajili hapa kuwa wa kwanza kushinda Mamilioni ya Meridianbet kila siku.

Vilabu vinavyotajwa kwenye sualaΒ  hili la ushirikina sio tu timu ndogo, bali hata Simba na Yanga wamekuwa mstari wa mbele kuonesha vitendo hivyo vichafu tena hadharani.

Beti na Meridianbet kwa ushindi mkubwa na odds kubwa,Β LigiΒ  zinakaribia kuanza,Β  usije kupishana na gari la Mshahara.

Akizungumza jana wakati wa maandalizi ya Msimu mpya wa 2024/25,Β  Kasongo alisema mwaka jana timu nyingi zilizonesha vitendoΒ  Β vya ushirikina hadharani, hivyo hiyoΒ  iliitia doa ligi kuu.

“Bodi tumekaa na Wenyeviti wa timu tukubaliana tuongeze faini kwa timu zinaonyesha vitendo vya kishirikina, maana msimu uliopita kanuni hii ilivunjwa zaidi na timu zinalipa faini lakini hata hawajali, tulijiuliza faini ilikuwa ni ndogo,” amesema Kasongo.

Kwa kuliona hilo na kutambua ubora wa Ligi kuu yaΒ  Tanzania vitendo vya Ulozi, havitakiwi katika timu zote zinazoshiriki kwani vinatengeneza pichaΒ  mbaya huku nje.

Kwa nyakati tofauti vilabu vikibwa ikiwemo Simba na Yanga, vimepigwa faini kwa kuonesha vitendo vya ushirikina,Β  kwa kushikilikisha wachezaji, mashabiki au viongozi.

Michezo ya Kasino na Sloti ni machimbo yanayotoa pesa kirahisi. Cheza kasino hapa.

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.