Kocha wa Yanga SC Nasraddine Nabi, amekuwa akilalamikia kwa muda sasa ratiba ya timu yake kubana na hivyo, kuleta ugumu kwenye upangaji wa kikosi kwa kuzingatia uchovu wa wachezaji na wingi wa mechi unaofuatana mfululizo.

Ukipita huko mitandaoni utaona malalamiko ya watu wengi wakizungumzia ufinyu wa muda wa mapumziko kwa klabu ya Yanga ambayo wanakabiliwa na mechi ya Ligi Kuu dhidi ya Kagera Sugar Mkoanni Mwanza. Odds kubwa za meridianbet

Kwa Ratiba Hii Yanga Wana Haki ya Kulalamika

LAKINI hivi karibuni, Yanga imecheza michezo mingi mfululizo ukianza na ule wa ugenini dhidi ya Club Africain wa Tarehe 09/11/ 2022 nchini Tunisia.

Tarehe 10 baada ya mechi hiyo klabu hiyo ikaanza safari ya Kurudi Tanzania, Wakitokea nchini Tunisia kupitia Dubai ambapo walilala hapo. Odds kubwa za meridianbet

Tarehe 11 wakaanza Safari kutoka Dubai kurudi nchini Tanzania jijini Dar Es Salaam. ambapo mara baada ya kufika Dar Es Salaam hawakupata muda wa kupumzika wakaonganisha moja kwa moja mpaka Jijini Mwanza, kimahesabu ni sawa na kutoka Moja kwa Moja Dubai Hadi Mwanza kwa kupitia Dar es Salaam.

 

Kwa Ratiba Hii Yanga Wana Haki ya Kulalamika

Mapumziko ya Yanga Ni Tarehe 12 Kabla ya Mechi ya Tarehe 13 dhidi ya Kagera Sugar itakayopigwa kwenye uwanja wa kwenye dimba la CCM Kirumba. Tazama odds bomba na kubwa hapa

Kitaalamu hii inapingana na uhalisia wa proffesionalism ya Mpira wa Miguu ambao kwa kawaida mchezaji anapaswa apumzike masaa 72 kabla ya kuchezamchezo mwingine.

IKO HIVI, Timu inapocheza Mechi Leo, Siku inayofuata ni Siku ya Mazoezi Mepesi Kurudisha Miili ya Wachezaji ( Recovery) Kisha Siku inayofuata, Ni Siku ya Mazoezi ya nguvu kuelekea Mechi inayofuata. Beti na meridianbet wana odds bomba

Kuanzia tarehe 10-11 Yanga ilikuwa safarini, Maana yake tarehe 12 Ni Siku ya Kufanya ( Body Recovery) Lakini haya yote hayapo. Yanga wanalazimika Kuwatumia Wachezaji Wao katika Mazingira hatarishi zaidi. Odds bomba zinapatika hapa.

KWA MANTIKI HII, YANGA SC UNAHISI WANA HAKI YA KULALAMIKIA RATIBA AU HAWAPASWI KULALAMIKA SANA..?


Ulishawahi kuwaza kuwa rubani wa maisha yako!! Kuwa rubani wa mchezo pendwa wa Aviator wa kasino mtandaoni. Aviator bonanza inazidi kutoa michongo ya mkwanja kwenye nyumba ya mabingwa. Unarusha ndege yako na unashinda, kuwa rubani wa kujivunia kwa kuibuka na mkwanja leo.

BONYEZA HAPA

aviator

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa