Aliyekuwa Kocha mkuu wa Ghana Kwesi Appiah yupo mbioni kujiunga na Simba SC kama Mkurugenzi wa Ufundi nafasi ambayo kwa sasa haina mtu pale klabuni. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet Kasino ya mtandaoni, sloti, Poker, Aviator na Roulette- Chagua Tukupe.

 

simba

Kwa mujibu wa Mwandishi wa Habari za Michezo kutoka Ghana Micky Jr ameandika habari za Kwesi kutua Msimbazi ambapo mpaka sasa bado pande zote mbili zipo kwenye mazungumzo. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na kasino ya mtandaoni.


“Bado tupo kwenye mazungumzo na makubaliano ya awali kabisa yakiwa yamefika 70%, natumaini tutamaliza hili karibuni”-Kwesi Appiah Aliyekuwa Kocha wa Ghana.

Kwa sasa Simba wanahitaji kumpata Mkurugenzi wa Ufundi, ili kulisaidia Benchi la Ufundi kufikia malengo ya timu kwani kwa sasa timu hiyo inaonekana kuwa na benchi la Ufundi lenye mapungufu mengi. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.

Hivyo kuwasili kwa Kocha huyo itakuwa ni msaada mkubwa sana kwa Simba ambapo itakuwa ni mafanikio makubwa kwa wakati huu wakiwa wanapata shida kwenye usajili ya wachezaji na benchi la ufundi. Pata Odds kubwa za soka ukiwa na Meridianbet na kasino ya mtandaoni.


JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa