Baada ya kuambulia sare kwenye mchezo wao uliopita, uliochezwa dhidi ya Kagera Sugar Februari 2, 2024 mkoani Kagera, mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara Yanga leo watakuwa na kibarua Cha …
Makala nyingine
Uongozi wa klabu ya Simba umeweka wazi kuwa hesabu kubwa ni kupata pointi tatu kwenye mchezo wao wa ligi dhidi ya Tabora United. Februari 6 Simba ina kibarua cha …
Ligi kuu ya NBC inatarajiwa kuendelea hii leo kwa mchezo mmoja ambao utakuwa ni kati ya mwenyeji Mashujaa dhidi ya Tabora United majira ya saa 10:00 jioni katika dimba la …
Ligi kuu ya NBC inatarajia kuendelea hii leo kwa mchezo mmoja majira ya saa 10:00 jioni ambapo Ihefu watakuwa nyumbani kukiwasha dhidi ya Tanzania Prisons huku timu zote zikitokea Mbeya. …
Mechi nyingine ya Ligi kuu Tanzania ni ile inayowakutanisha Geita Gold dhidi ya Tabora United majira hayo hayo ya saa 10:00 jioni katika dimba la Nyankumbu. Geita Gold yupo …
Ligi kuu ya NBC itaendelea hii leo kwa michezo miwili ambapo mchezo wa kwanza ni kati ya Singida FG dhidi ya Mashujaa ambao ndio wenyeji wa mchezo huo. Mehi hiyo …
Ligi kuu ya NBC inatarajiwa kuendelea kwa mchezo mmoja ambao ni mwenyeji Simba dhidi ya Ihefu FC kutoka Mbeya. Mchezo huo utapigwa majira ya saa 1:00 katika dimba la …
Ligi kuu ya NBC hapo jana ilimaliziwa kwa mchezo uliowakutanisha kati ya Azam FC dhidi ya Namungo majira ya saa 2:30 usiku katika dimba la Chamazi. Azam FC wamepoteza …
Ligi kuu ya NBC inatarajiwa kuendelea hii leo kwa mchezo mmoja mkubwa kabisa ambao ni Derby ya Dar es salaam ambao utawakutanisha Yanga dhidi ya Azam FC katika dimba la …
Mechi nyingine ya kibabe itakuwa majira ya saa 1:00 usiku ambayo itawakutanisha kati ya Singida FG dhidi ya Namungo kutoka Lindi ambapo mwenyeji wa mchezo huo ni Wauaji wa Kusini. …
Mechi nyingine ya ligi kuu ya NBC itakuwa ni kati ya mwenyeji Ihefu dhidi ya Coastal Union majira ya saa 10:00 jioni katika dimba la Highland Estate. Ihefu anashikilia …
Ligi kuu ya NBC kuendelea hii leo kwa michezo mitatu ambapo mchezo wa mapema zaidi utakuwa ni kati ya Geita Gold dhidi ya Dodoma Jiji katika dimba la Nyankumbu majira …
Mechi nyingine itakuwa pale katika dimba la Sokoine jijini Mbeya ambapo Tanzania Prisons atazichapa dhidi ya Mtibwa Sugar majira ya saa 10:00. Tanzania Prisons wametoka kupoteza mchezo wao wa …
Ligi kuu ya NBC Tanzania inatarajiwa kuendelea hii leo kwa michezo miwili ambapo mchezo wa kukata na shoka utakuwa ni kati ya Simba dhidi ya Singida Fountain Gate katika dimba …
Mechi nyingine itakuwa ni pale Uhuru ambapo KMC baada ya kushinda mchezo wake uliopita atamleta nyumbani Ihefu ambaye nae amepata ushindi mechi yake iliyopita. Mchezo huo utakuwa ni majira …
Ligi kuu ya NBC Tanzania kuendelea hii leo kwa michezo miwili majira ya saa 10 huku katika dimba la CCM Kirumba Geita Gold atamkaribisha Yanga. Yanga ametoka …
Mechi ya mapema ya ligi kuu ya NBC leo hii ni kati ya Tabora United dhidi ya Dodoma Jiji itakayopigwa majira ya saa 10:00 jioni katika dimba la Ali Hassan …