Golikipa wa klabu ya Simba Aishi Manula ndiye mlinda mlango mwenye Clean Sheets nyingi zaidi kwenye ligi kuu ya NBC mpaka sasa ambapo amefikisha Clean Sheets 05 baada ya timu yake kucheza michezo nane.

 

Manula Ndiye Kipa Mwenye "Clean Sheets" Nyingi Mpaka Sasa

Manula ndiye golikipa namba 1 wa timu ya Taifa Tanzania (Taifa Stars) ambapo amekuwa na kiwango kizuri sana takribani miaka yote ya uchezaji wake toka akiwa Azam na sasa akiwa Simba.

Pia golikipa huyo amechukua tuzo ya golikipa mara kibao kwa hapa Tanzania baada ya kuwa na mfululizo wa ubora, japokuwa msimu uliopita alipitwa na mlinda mlango wa Yanga Diara.

Manula Ndiye Kipa Mwenye "Clean Sheets" Nyingi Mpaka Sasa

Magolikipa wanaomfuata kwa kuweka Clean Sheets katika ligi kuu ni pamoja na Jonathan Nahimana wa Namungo ambaye anazo 04 na Ahmada wa Azam Fc akiwa nazo nne pamoja na Mroivill wa Coastal Union 04.


AVIATOR

Ulishawahi kuwaza kuwa rubani wa maisha yako!! Kuwa rubani wa mchezo pendwa wa Aviator wa kasino mtandaoni. Aviator bonanza inazidi kutoa michongo ya mkwanja kwenye nyumba ya mabingwa. Unarusha ndege yako na unashinda, kuwa rubani wa kujivunia kwa kuibuka na mkwanja leo.

BONYEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa