Mashujaa Mwenyeji wa Tabora United Leo

Ligi kuu ya NBC inatarajiwa kuendelea hii leo kwa mchezo mmoja ambao utakuwa ni kati ya mwenyeji Mashujaa dhidi ya Tabora United majira ya saa 10:00 jioni katika dimba la Lake Tanganyika.

 

Mashujaa Mwenyeji wa Tabora United Leo

Timu hizi zote mbili zimepanda ligi kuu msimu huu wakitoka ligi daraja la kwanza baada ya kuwa na pointi nyingi kuliko wengine huku mwenyeji akiwa na hali mbaya kwenye msimamo wa ligi hadi sasa.

Wakati ukiendelea kubashiri ligi hii ya NBC, meridianbet wanatoa michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, poker, Roullette, sloti na mingine kibao. Ingia meridianbet na ucheze sasa.

Mashujaa Mwenyeji wa Tabora United Leo

Mashujaa yupo nafasi ya 15 yani ya pili kutoka mwisho huku mechi zake 5 za mwisho akipoteza zote. Mpaka sasa ameshinda mechi mbili pekee, sare mbili na kupoteza mara tano akikusanya pointi nane kwenye michezo tisa.

Wakati kwa upande wa Tabora United yeye yupo nafasi ya tisa kwenye msimamo wa ligi akiwa na pointi zake 14 baada ya kushinda mchezo uliopita, na mpaka sasa ameshinda michezo mitatu, sare tano na kupoteza mara mbili.

Je leo hii nani kuondoka na pointi tatu kwenye mchezo wao wa kwanza kukutana kwenye ligi kuu ya NBC? Huku Meridianbet wakiendelea kukwambia ukibashiri mechi hii, kumbuka kucheza pia michezo ya kasino ya mtandaoni.

Acha ujumbe