Klabu ya Mbeya City inatarajia kumualika Simba hapo kesho kwenye mchezo wa Ligi kuu ya NBC katika uwanja wa Sokoine majira ya saa kumi jioni baada ya timu hiyo kutoa sare mchezo wake uliopita.

 

Mbeya City Kukipiga Dhidi ya Simba Kesho

Mbeya City ipo nafasi ya tano mpaka sasa baada ya kucheza michezo yake 12 huku ikiwa imeshinda mechi nne, sare sita na imepoteza mechi mbili pekee na kujikusanyia pointi 18 kibindoni.

Simba wao wao nafasi ya pili baada ya kushinda mechi zao nane, sare tatu na kupoteza mara moja huku wakiwa na pointi 27 mpaka sasa. Wamecheza michezo 12 sawa na wapinzani wao wa kesho.

Mechi iliyopita Simba ameshinda wakati kwa upande wa Mbeya wao walitoa sare huku mchezo wa kesho macho yakiwa kwa mfungaji wao bora Sixtus Sabilo mwenye mabao 7 mpaka sasa. Wakati Simba ni Mosses Phiri ndiye mwenye mabao mengi sita.

Mbeya City Kukipiga Dhidi ya Simba Kesho

Mechi mbiliz za msimu uliopita timu hizi kila mtu alichukua pointi tatu ambapo mchezo wa kwanza Wanakoma kumwanya walishinda wakati kwa Msimbazi wao walikuja kushinda mchezo wa pili.


Kombe la Dunia Linatimua Vumbi huko Qatar ni timu 32, sawa na mechi 64 zitapigwa kwenye viwanja tofauti. Meridianbet wana uwanja wao wa Kushiriki na wewe wakati Michuano hii inaendelea. Uwanja wa Machaguo Spesho ni Kwa ajili yako, wewe Bingwa wa Kubeti. Unaweza kubeti ni Timu gani itachukua Ubingwa, Timu gani Itaongoza kuwa na kadi nyingi za Njano na Nyekundu, au Timu gani itatoka mapema kwenye michuano hiyo. Uamuzi ni wako. Chaguo ni lako. Hii ipo mpaka mwisho wa Kombe la Dunia.

BONYEZA HAPA

 

 

Mbeya, Mbeya City Kukipiga Dhidi ya Simba Kesho, Meridianbet

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa