Kocha Mkuu wa Simba, Juma Mgunda amefunguka kuwa wanatambua umuhimu wa mchezo wa kesho hivyo wapo tayari kwa ajili ya kushindana ili kupata matokeo mazuri.

Kesho Simba itakuwa dimba la Ushirika, Moshi kumenyana na Polisi Tanzania kwenye mchezo wa ligi kuu Bara.
Akizungumzia maandalizi yao, Mgunda amesema “Tunamshukuru Mungu Tumekuja na wachezaji 22 wote wapo vizuri mpaka sasa na tuendelee kumuomba Mungu wawe salama mpaka kesho. Beti na kitochi mechi hii, meridianbet wameipa odds kubwa na bomba. Beti hapa.
“Tumekuja kushindana tunatambua Polisi ni timu nzuri na wao wamejipanga kupata matokeo lakini tunaamini dakika 90 ndio zitaamua.
“Vijana wapo tayari na wanajua umuhimu wa huo mchezo nimewaandaa kisaikolojia kutokana na matokeo ya mechi iliyopita hivyo wataenda kutafuta pointi tatu kesho.”

Je wewe hucheza Kasino Mtandaoni na umekuwa ukijiuliza ni mchezo gani rahisi na mzuri kwa ushindi? Basi Usihangaike Aviator ni rahisi zaidi kucheza na kushinda, kingine cha zaidi ni kwamba Aviator Bonanza imerudi tena Cheza zaidi ujiweke kwenye nafasi ya kushinda Samsung A23.


