Kaimu Ofisa Habari wa Azam FC, Hasheem Ibwe ameweka wazi mipango yao kwa msimu huu kuwa ni kutwaa ubingwa wa ligi kuu kwa msimu huu.

Timu hii mpaka sasa wamefanikiwa kukusanya pointi 35 kwenye ligi kuu huku wakishika nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi.

Akizungumzia hilo, Ibwe amesema “Baadae kikosi kitashuka dimbani kumenyana na Malimao kwenye mchezo wa michuano ya kombe la Shirikisho la Azam.

Mipango ya Azam msimu huu hii hapa

“Tunaingia kwa kuchukua tahadhari zote kwani hatuwafahamu vizuri wapinzani wetu hivyo kwa ajili ya kutimiza malengo yetu inabidi tuwe makini.

“Mipango yetu kwa msimu huu ni kuwa mabingwa wa Ligi Kuu, kutwaa kombe hilo, na kutwaa ubingwa wa kombe la Mapinduzi.”

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa