MO Dewji Amfuata Staa Cameroon

mo dewji

UONGOZI wa Simba umeweka wazi kuwa hawatoshindwa kumsajili mchezaji yeyote watakayemtaka kulingana na thamani yake kutokana uwepo wa mwekezaji na Rais wa Heshima wa klabu hiyo, Mohammed Dewji (Mo Dewji). Ukiwa na meridianbet odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.

Simba imetoa kauli hiyo baada ya taarifa kuwa wameshindwa kupata saini ya beki wa Cameroon, Che Fondoh Malone ikidaiwa kuwa anatakiwa na klabu mmoja nchini Zurich.

Hivi karibuni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba, Salim Abdallah ‘Try Again’, alikutana na uongozi wa Coton Sport ya Cameroon wiki iliyopita kwa ajili ya majadiliano ya kupata saini ya nyota huyo ambaye muda wowote atasaini mkataba wa miaka miwili kutumikia klabu hiyo ya Simba.

Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.

Meneja wa Habari na Mawasiliano ya timu hiyo, Ahmed Ally, alisema kuwa kama kuna taarifa ya mchezaji yeyote ambaye anatakiwa na Simba basi wanauwezo wa kumnunua kutokana na bajeti yao kubwa waliyoiweka kwa ajili ya msimu ujao.

Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.

“Kama kweli huyo beki anatakiwa au mchezaji yeyote basi Simba haishindwi kumnunua, timu inayomilikiwa na Mo Dewji hatushindwi kumpata, hatusajili wachezaji waliokuwa huru bali tunaenda kuwanunua kutoka ndani ya klabu husika.

“Mapendekezo ya usajili ni kupata beki kuja kusaidiana na Joash Onyango na Henock Inonga kwa msimu ujao wa mashindano, lazima tufanye usajili bora kulingana na mahitaji yetu na mashindano tunayoenda kushiriki,” alisema Ally.

Tembelea duka la ubashiri-Meridianbet kutandika jamvi lako kwa odds kubwa.

Acha ujumbe