Ligi kuu ya NBC kuendelea hii leo kwa michezo miwili ambapo kule Morogoro Mtibwa Sugar wao watawakaribisha Dodoma Jiji katika dimba la Manungu majira ya saa 10:00 jioni.
Mtibwa yupo nafasi ya mwisho ambayo ni ya 16 kwenye msimamo wa ligi, baada ya kucheza mechi zake 16 akishinda mechi mbili pekee, sare mbili na kupoteza mara 12 huku akikusanya pointi 8 pekee.
Wakati kwa upande wa Dodoma Jiji wao wapo nafasi ya 10 kwenye ligi baada ya kucheza mechi zao 16, wakisjinda michezo mitano, sare nne na kupoteza michezo saba hadi sasa na kujipatia pointi zao 19.
Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa.
Mwenyeji ana hali mbaya sana hivyo anahitaji pointi tatu ili aanze taratibu kujinasua kwenye hiyo nafasi aliyopo. Je ataweza mbele ya walima zabibu ambao kushinda mechi hii ndani ya meridianbet wamepewa 2.89 kwa 2.30.
Mara ya mwisho kukutana, walitoshana nguvu. Je leo hii nani kuondoka na ushindi. Beti mechi sasa na ujishindie maokoto.