Ligi kuu ya NBC Tanzania kuendelea hii leo kwa michezo miwili ambapo mchezo wa mapema zaidi ni ule unaowakutanisha kati ya Mtibwa Sugar dhidi ya Coastal Union majira ya saa 8:00 mchana.

 

Mtibwa Sugar Kukiwasha Dhidi ya Coastal Union

Mtibwa Sugar atakuwa mwenyeji wa mchezo kwa mara ya pili tena baada ya kupoteza mchezo uliopita akiwa nyumbani leo hii atakuwa na maswali mengi ya kujibu juu ya Wanamangushi.


Aviator, poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao upige pesa na Meridianbet. Ingia www. meridianbet.co.tz.

Coastal Union wao wametoka kupoteza pia mchezo uliopita wa ligi, hivyo mechi ya leo kila timu inahitaji pointi tatu ili kujiweka sawa kwenye Ligi kabla ya ligi haijaanza kupamba moto hapo baadae.

Mtibwa Sugar Kukiwasha Dhidi ya Coastal Union

Msimu uliopita timu hizi zilipokutana, kila mtu alishinda mechi ya nyumbani kwake. Je leo hii inaweza kuwa kama msimu uliopita aua mambo yatabadilika?

Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.

 


JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa