Mtibwa Sugar na Coastal Union Hakuna Mbabe

Mechi ambayo ilikuwa ikiwakutanisha Mtibwa Sugar dhidi ya Coastal Union ya Tanga imesiha kwa timu hizo zote mbili kutoshana nguvu kwa kufungana 1-1 kwenye uwanja wa Manungu Morogoro.

 

Mtibwa Sugar na Coastal Union Hakuna Mbabe

Kwa upande wa Wagosi wa Kaya abao limefungwa na Ibrahim Ajib dakika ya 70 na baadae dakika ya 84 Kassim Haruna akasawazisha bao hilo na kufanya mechi kuisha kwa sare.

Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.

Mtibwa wameshindwa kupata pointi 3 kwenye mechi mbili amazo wamecheza huku mechi ya kwanza wakipoteza wakiwa hapo hapo nyumbani kwao na mchezo unaofuata atasafiri hadi Dodoma kumenyana na Dodoma Jiji.

Mtibwa Sugar na Coastal Union Hakuna Mbabe

Aviator, poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Piggy Party na mingine kibao upige pesa na Meridianbet. Ingia www. meridianbet.co.tz.

Wakati kwa upande wa Coastal yeye kwenye mechi mbili alizocheza, ameshinda moja na sare moja na mechi inayofuata atamkaribisha Kitayosce ambayo imepanda ligi kuu msimu huu.

 

 

 

 

 

Acha ujumbe