Ligi kuu ya NBC inatarajiwa kuendelea hii leo kwa michezo minne ambapo mchezo wa mapema kabisa ni huu wa mgeni Mtibwa Sugar dhidi ya Geita Gold ambao utapigwa katika dimba la Nyankumbu huko Geita.

Mchezo huo utapigwa majira ya saa 8:00 mchana ambapo Geita Gold baada ya kupoteza mchezo uliopita, leo hii anahitaji ushindi ili ajiondoe kwenye nafasi aliyopo kabla msimu haujamalizika kwani mechi zimebaki chache.
Bila kusahau meridianbet ndio wakali wa ODDS KUBWA, Machaguo zaidi ya 1000 na kila kitu ukitakacho. Bashiri kijanja hapa.
Lakini naye Mtibwa hali ni mbaya kwani mpaka sasa yeye ndiye kibonde wa ligi baada ya kutoa sare mchezo wake uliopita huku mambo yakimwendea kombo kabisa kwani mpaka sasa ameshinda michezo minne pekee.

Tofauti ya pointi kati yao ni 5 pekee ambapo mwenyeji ana pointi zake 21 na mgeni ana pointi zake 16, nao Meridianbet wamempa nafasi kubwa ya kushinda mwenyeji akiwa na ODDS ya 1.76 kwa 4.11. Bashiri mechi hii sasa.


