Mwamuzi aliechezesha mchezo kati ya klabu ya Yanga dhidi ya Geita Gold anayefahimika kama Florentina Zabron ambaye ataitwa kwenye kamati ya waamuzi ili kulichunguza tukio lake katika mchezo huo.mwamuziMwamuzi huyo ambaye alifanya makosa katika mchezo huo namba 74 uliopigwa wiki iliyopita katika dimba la CCM Kirumba alionekana kutoa mkwaju wa penati kwa klabu ya Yanga kinyume cha sheria, Kwani ilionekana mkwaju huo ulikua nje ya eneo la 18 na refa huyo kuamuru iwe penati.

Baada ya Flortentina Zabron kuitwa kwenye kamati ya waamuzi na tukio lake kuchunguzwa kitaalamu basi kama itabainika kuna makosa kwenye tukio lile hatua zitachukuliwa dhidi ya mwamuzi huyo.mwamuziHii imekuja baada ya kamati ya maadili pia kuwafunguia wachezaji wa Simba na Yanga Cloutus Chama na Stefane Aziz Ki kwa kosa la kutopeana mkono na wachezaji wenzao kwenye mchezo wa Derby ya Kariakoo uliopigwa oktoba 23.

AVIATOR

Ulishawahi kuwaza kuwa rubani wa maisha yako!! Kuwa rubani wa mchezo pendwa wa Aviator wa kasino mtandaoni. Aviator bonanza inazidi kutoa michongo ya mkwanja kwenye nyumba ya mabingwa. Unarusha ndege yako na unashinda, kuwa rubani wa kujivunia kwa kuibuka na mkwanja leo.

BONYEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa