Mwenda Atishia Kwenda FIFA, Kisa Singida BS

INAELEZWA KWAMBA aliyekuwa Beki wa kulia wa Simba Israel Patrick Mwenda inaelezwa kuwa changamoto aliyokutana nayo akiwa Singida BS huenda ikamfanya, afikishe kesi na malalamiko yake FIFA. Jisajili hapa kuwa wa kwanza kushinda Mamilioni ya Meridianbet kila siku.

Mwenda ambaye awali Uongozi wa Simba ulimfuata na kumpa mkataba mpya, kisha kumtambulisha kama sehemu ya wachezaji wa klabu hiyo kwa msimu huu wa 2024/25, lakini baadae kijana akamwaga mboga madai yake anataka kusaka changamoto mpya.

Akiwa Simba Patrick Mwenda aliongezewa Mkataba na kupewa mzigo mzuri lakini baadae akasema anarudisha anakwenda kutafuta changamoto kwingine ndani ya Singida Black Star’s.

Beti na Meridianbet kwa ushindi mkubwa na odds kubwa, Ligi  zinakaribia kuanza,  usije kupishana na gari la Mshahara.

Inaelezwa kwamba pesa aliyosaini huko hakupewa yote hivyo hajajiunga na timu hiyo akishinikiza kukamilishwa pesa yake lasivyoo atakwenda kuishataki timu yake hiyo katika shirikisho la mpira Duniani FIFA.

Michezo ya Kasino na Sloti ni machimbo yanayotoa pesa kirahisi. Cheza kasino hapa.

Acha ujumbe