Mwenyekiti Simba atema Cheche

Mwenyekiti Simba, MURTANZA Mangungu ambaye anatetea kiti hicho kwa mara nyingine amesema kuwa hata kama akishindwa atabaki kushirikiana na Simba kwa kuwa ni mwanachama wa timu hiyo.

Januari 29,2023 Simba wanatarajia kufanya uchaguzi na mkutano mkuu ambapo kwa sasa kampeni zinaendelea.

Mwenyekiti Simba atema Cheche

Mangungu amesema kuwa anatambua kwenye ushindani kuna kushinda na kushindwa lakini yeye hana tatizo.

“Ambacho ninaweza kuwaambia wanachama wanipe kura kwa kuwa nina uzoefu na kwa kushirikiana tutafanya kazi kubwa”.

Mwenyekiti Simba atema Cheche

“Kura zao ni muhimu ili kufikia malengo ambayo tunayo inawezekana kutokana na kila mmoja kuhitaji kuona tunafikia malengo yetu kitaifa na kimataifa,”amesema Mangungu.

Acha ujumbe