Mwinyi Zahera Bado Yupo Sana Namungo

KOCHA Mkongomani Mwinyi Zahera bado ataendelea kuwepo kwenye kikosi Cha Namungo licha ya tetesi kuenea kuwa Anaweza kuondoka klabuni hapo. Jisajili hapa kuwa wa kwanza kushinda Mamilioni ya Meridianbet kila siku.

Kufungwa mechi mbili za awali wakiwa Ugenini dhidi ya Tabora United na Fountain Gate FC kukazua tetesi kuwa Zahera amekalia kuti kavu na muda wowote ataondoka.

Beti na Meridianbet kwa ushindi mkubwa na odds kubwa, Ligi  zinakaribia kuanza,  usije kupishana na gari la Mshahara.

Mmoja wa viongozi wa ndani ya Namungo ameiambia Meridian Sports kuwa Zahera bado ataendelea kuwepo na hakuna mpango wa Kocha huyo kuondoka klabuni hapo kwa Sasa.

Kasino ya Mtandaoni usipange kuacha kucheza, Meridianbet wameakuandalia Maokoto na bonasi za kasino kibao.

Acha ujumbe