NENO LA SIMBA BAADA YA DROO YA CAF JANA

TAYARI Simba wamewatambua wapinzani wao watakaokutana nao kwenye mechi za kimataifa hatua ya makundi.

Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Roberto Oliveira imepangwa kundi B ambapo inasaka nafasi ya kutinga hatua ya robo fainali.SIMBADroo hiyo imechezwa Jana Oktoba 6, Afrika Kusini na Simba wameweka wazi kuwa malengo yao ni kupata matokeo kwenye mechi zao za kimataifa.

Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba amesema malengo makubwa ni kutinga hatua ya robo fainali.

“Baada ya kuona wapinzani wetu na timu ambazo tutacheza nao hatuna mashaka ni maandalizi kwa ajili ya mechi hizo ambazo zitafanyika hivi karibuni.
“Tumeliona kundi letu namna lilivyo na tuna wachezaji bora pamoja na benchi la ufundi lenye mbinu hivyo tukutane Robo Fainali,”.SIMBAKundi la Simba lina timu hizi:-Simba, Wydad, Jwaneng Galaxy na Asec Mimosas.
VIGOGO YANGA WATIA NENO BAADA YA MAKUNDI JANA

Acha ujumbe

Meridianbet
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.