Safari yake ya soka ilianza kama masihala hivi, kijana wa Kitanzania Novatus Dismas (21) mzaliwa wa Jiji la Arusha aliyekataa usela na kuchagua mpira na sasa unaanza kumlipa. Ukiwa na meridianbet odds kubwa, kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti.
Novatus Dismas hiki ni kipaji cha mpira haswa, baada ya droo ya makundi ya Uefa Champions League huko Monaco ni rasmi sasa kijana wa Kitanzania ataenda kukipiga katika dimba la Nou Camp Barcelona msimu huu. No discussion.
Beti na Meridianbet kwa odds kubwa na machaguo kibao, pia unaweza kubashiri mubashara.
Katika kundi H inawakilishwa na FC Barcelona, FC Porto, Shaktar Donestik, na Royal Antwerp ambapo Novatus Dismas amesajiliwa na Shaktar Donestik ya Ukraine.
Safari ya Novatus Dismas ilianzia katika academy ya Azam ambapo alikuwa akicheza timu ya vijana ya Under 19 msimu wa 2019/20, akajiunga kwa mkopo Biashara Utd badae akarudi Azam tena.
Hii sio ya kuchukulia poa, kipaji halisi na zao la Tanzania kucheza UCL sio jambo dogo, Alianza Mbwana Ally Samatta kukipiga Ulaya na ardhi ya Uingereza akazifunga Liverpool n.k lakini Novatus Dismas ameandika rekodi yake ya pekee.
Odds kubwa kasino ya mtandaoni na michezo ya sloti ni vitu vinavyoweza kubadilisha maisha yako kwa kukupatia pesa nyingi. Ingia mchezoni hapa.
Rashidi Masudi saidi
Mimi Rashid Masudi saidi nilikuwa naomba nafasi ya kujiunga kwenye academiy ya Azam u,20 natokea mkoa wa kigoma