Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Geita Gold ya mkoani Shinyanga Saidoo Ntibazonkiza inaelezwa anakaribia kujiunga na klabu ya soka ya Simba katika dirisha dogo Januari.

Kiungo huyo mshambuliajiwa klabu ya Yanga amekua kwenye kiwango bora tangu ajiunge klabu ya Geita akitokea nchini kwao Brundi baada ya kuondoka hapa nchini alipokua anaitumikia klabu ya Yanga.ntibazonkizaNtibazonkiza ambaye mpaka sasa ashahusika na magoli saba kwenye klabu ya Geita huku akifunga magoli matatu na kupiga pasi nne za mabao. Hii kwa kiwango kikubwa imewavutia klabu ya Simba kumuhutaji kwenye viunga vya Msimbazi kiwasababu ya uwezo ambao ameuonesha ndani ya Geita.

Klabu ya Simba inamfikiria Ntibazonkiza kama mbadala sahihi wa kiungo wao Claotus Chama ambae inaonekana timu hiyo inakua kwenye wakati mgumu anapokua hayupo uwanjani, Hivo uongozi wa Simba umemuona mchezaji huyo kama ni mtu sahihi anaeweza kuisaidia timu hiyo Chama anapokua hayupo.ntibazonkizaRaia huyo wa Burundi pia atakua faida kwa klabu ya Simba kwakua ni mchezaji ambae anatumika nafasi zaidi ya moja uwanjani na sababu hiyo pia inamfanya kuendelea kuwavutia klabu hiyo yenye maskani yakke Msimbazi.

ntibazonkiza, Ntibazonkiza Kuibukia Simba, Meridianbet

Kombe la Dunia Linatimua Vumbi huko Qatar ni timu 32, sawa na mechi 64 zitapigwa kwenye viwanja tofauti. Meridianbet wana uwanja wao wa Kushiriki na wewe wakati Michuano hii inaendelea. Uwanja wa Machaguo Spesho ni Kwa ajili yako, wewe Bingwa wa Kubeti. Unaweza kubeti ni Timu gani itachukua Ubingwa, Timu gani Itaongoza kuwa na kadi nyingi za Njano na Nyekundu, au Timu gani itatoka mapema kwenye michuano hiyo. Uamuzi ni wako. Chaguo ni lako. Hii ipo mpaka mwisho wa Kombe la Dunia.

BONYEZA HAPA

JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa