Nyota wa Simba SC Victor Akpan na Nelson Okwa Mnigeria wametambulishwa kama wachezaji wa Ihefu SC ya Mjini Mbarali Mbeya kwa mkopo. Odds kubwa za soka unazipata Meridianbet.

Ni baada ya kukosa nafasi ya uhakika kwenye kikosi cha Simba SC ambapo Nelson Okwa akitokea Plateu United ya Nigeria, alisajiliwa kama mbadala wa Rally Bwalya aliyejiunga na Amazulu ya Afrika Kusini.
Kwa upande wa Victo Akpan alisajiliwa kuisaidia klabu ya Simba kwenye eneo la kiungo wa ulinzi kama mkata umeme kazi ambayo ilifanywa vizuri na Mzamiru Yassin na Sadio Kanoute Puttin. Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kubashiri.

Inasemekana hiyo ni sababu iliyomfanya Akpan kukosa nafasi kwenye kikosi hicho cha Simba kwa kiwango chake kutoendana na timu yake, lakini pia majeruhi ni moja ya sababu ya iliyomfanya mchezaji huyo kushuka kiwango na huenda Simba wameamua kuwapeleka kwa mkopo Ihefu. Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, Usikose hii!!.


