Makala nyingine

Usajiri unaoendelea ndani ya kikosi cha Azam FC unawapa jeuri wachezaji wa klabu hiyo kiasi cha kubeza usajili ambao unafanywa na klabu zingine hususan Simba na Yanga ambao wamekuwa wakisajili …

Kiungo wa Kimataifa wa Ghana Augustine Okrah ambaye jana alitambulishwa na Simba kuwa mchezaji mpya wa timu hiyo amesema anataka kufanya vitu vingi vikubwa kwenye timu hiyo, lakini muhimu taji …

BAADA ya kuwatambulisha nyota wao watano, Uongozi wa Dodoma Jiji umeweka mikakati ya kumaliza ligi katika nafasi tano za juu kwenye msimamo wa ligi. Nyota hao waliosajiliwa mpaka sasa ni …

BAADA ya kufanikiwa kubaki kwenye michuano ya ligi kuu kwa msimu ujao, Uongozi wa Mtibwa Sugar umefunguka kufanya maamuzi magumu katika kikosi chao kwa msimu ujao. Mtibwa walipata nafasi ya …

WAKITARAJIA kuingia kambini, Simba wameendelea kushusha vifaa ambapo wamemtambulisha rasmi, Augustine Okrah raia wa Ghana. Kwa mujibu wa taarifa kutoka Simba imeeleza kuwa “Mchezaji mkubwa mwenye hadhi ya kucheza timu …

BAADA ya kuachana na wachezaji wao tisa, Uongozi wa Kagera Sugar umefunguka kuwa hawaathiriki na uamuzi huo kwani tayari wamepata wachezaji watakaochukua nafasi hizo kwenye kikosi. Mara baada ya kumalizika …

BAADA ya Metacha Mnata kutambulishwa na Singida Big Stars, Uongozi wa Polisi Tanzania umefunguka kuwa kipa huyo bado ana mkataba wa mwaka mmoja na klabu hiyo. Metacha alitambulishwa na klabu …

UONGOZI wa Azam FC umefunguka kumsajili kipa kutoka Ulaya ambaye anakuja kurithi nafasi ya Mathias Kigonya aliyeachwa hivi karibuni. Akizungumzia usajili wao, Mtendaji Mkuu wa Azam FC, Abdulkarim Amin ‘Popat’ …

Viongozi wa timu ya Biashara United ya Mara wamejiuzulu baada ya timu hiyo kushuka daraja katika mkutano wa dharura uliofanyika juzi jumatatu. Timu ya Biashara United imeshuka daraja moja kwa …

UONGOZI wa klabu ya Ihefu umefunguka kuwa wanatarajia kuwatambulisha wachezaji wao wapya na kuanza kambi kuanzia wiki ijao. Ihefu walifanikiwa kupanda daraja msimu uliomalizika hivi karibuni baada ya kutwaa ubingwa …

KIPA namba moja wa Simba, Aishi Manula ameweka wazi viongozi wa timu yake wamekuwa mstari wa mbele kubariki kuweza kupata changamoto mpya ikiwa atapata sehemu nzuri. Manula mwenye clean sheet …

Azam FC Wana Jambo Lao

UNAWEZA kusema kwamba Azam FC wana jambo lao kwa msimu ujao hiyo ni baada ya kutangaza kwamba wanatarajia kuweka kambi yao katika mji wa El Gouna uliopo nchini Misri. Kikosi …

Simba SC wanaendelea kushusha vifaa kwani leo jumatatu wamemtambulisha rasmi kiungo wao kutoka Kagera Sugar, Nassoro Kapama. Kapama kwa msimu uliopita chini ya Kocha Mkuu wa kikosi cha Kagera, Francis …

1 2 3 110 111 112 113 114 115 116