KIKOSI cha Singida Big Stars, ambacho kipo Jijini Mwanza kinatarajia kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Pamba FC, Agosti 27, mwaka huu kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza. Singida Big …
Makala nyingine
WAKIJIANDAA na mchezo wa ligi dhidi ya Simba, timu ya KMC imerejea kambini kwa ajili ya maandalizi ya mchezo huo ambao utapigwa Septemba 7 mwaka huu. Kikosi cha KMC ambacho …
RASMI uongozi wa Geita Gold umemalizana na aliyekuwa nyota wa Yanga, Saido Ntibazonkiza kwa mkataba wa miaka miwili. Ntibazonkiza alimaliza mkataba wake na Yanga mwishoni mwa msimu uliopita ambapo timu …
Afisa habari wa bodi ya ligi Tanzania maarufu kama NBC Karim Boimanda amezungumza na kutoa tathmini juu ya mwenendo wa ligi kuu Tanzania Bara. Afisa huyo wa habari ameeleza asilimia …
HATIMAYE kocha wa Simba Zoran Maki amefunguka kuwa alikuwa anafahamu kuwa mshambuliaji wake Dajen Georgejevic kuwa angefunga katika mchezo dhidi ya Kagera kutokana na nafasi nyingi ambazo zilikuwa zikitengenezwa kushindwa …
Mshambuliaji wa Simba Moses Phiri amesema kuwa anajisikia kuwa na amanai mara baada ya kufanikiwa kufunga bao katika michezo yake miwili mfululizo aliyocheza ya ligi kuu ndani ya timu hiyo. …
KATIKA kuhakikisha kuwa wanatetea ubingwa wa ligi kuu benchi la ufundi la klabu ya Yanga limeweka wazi mipango yao ya kuhakikisha kuwa wanapata ushindi mnono katika michezo yao ya nyumbani …
LICHA ya ligi kusimama ili kupisha michezo ya kimataifa ambapo timu ya Taifa ya Tanzania ikicheza dhidi ya Uganda lakini kikosi cha Singida Big Stars kimetimkia Arusha kwa ajili ya …
KIKOSI cha KMC kinatarajia kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Arta Solar 7 ya nchini Djibouti, Agosti 25 mwaka huu kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar. Kikosi hicho cha KMC ambacho …
BAADA ya kumalizika kwa mizunguko miwili ya ligi kuu Bara, golikipa wa Simba, Aishi Manula ameibuka kinara wa Clean Sheet kutokana na kutoruhusu bao lolote. Timu ya Simba chini ya …
Mchezaji nyota kinda wa klabu ya Azam FC Tepsie Evance ameongezwa kwenye kikosi cha timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kinachojiandaa na mchezo wa kufuzu fainali za CHAN dhidi …
Klabu ya soka ya Simba imepanga kutumia mapumziko ya mechi za kimataifa kujipima nguvu na vilabu kadhaa vikubwa vya nje ya Tanzania. Klabu ya Simba itacheza michezo hiyo dhidi ya …
KIKOSI cha timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ leo kimeingia kambini na kuanza mazoezi rasmi ya kujiandaa na mchezo wa kufuzu fainali za CHAN dhidi ya Uganda. Mchezo wa …
KOCHA Msaidizi wa Mbeya City, Anthon Mwamlima baada ya timu yake kupoteza mechi dhidi ya Singida Big Stars kwa mabao 2-1 ametoa lawama kwa waamuzi wa mchezo huo. Mchezo huo …
POINTI moja waliyoipata Azam kwenye mechi dhidi ya Geita Gold baada ya kutoka sare ya bao 1-1 imemkera kocha Mkuu wa Azam, raia wa Somalia, Abdihamid Moallin. Bao la Azam …
Tazama wasifu wa Gael Bigirimana, alikuwa na nafasi kubwa ya kupenya kwenye kikosi cha kwanza cha Kocha Nasradine Nabi, kwa sababu miaka ya nyuma Soka la Tanzania lilikuwa sehemu ya …
Ulikuwa ni mchezo mgumu kwa pande zote mbili kulingana na uhitaji wa matokeo na umihimu wa mchezo wenyewe, ukiwa ni mchezo wa mzunguko wa pili wa ligi kuu ya Tanzania …
Taarifa za ndani zinaeleza klabu ya Simba Sports imemalizana rasmi na straika la magoli kutoka kwa mabingwa wa Uganda Vipers United Cesar Lobi Manzoki. Klabu ya Simba imekubali kutoa kiasi …
BAADA ya kuanza vizuri kampeni ya kusaka taji la Ligi Kuu Bara msimu huu kwa ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Geita Gold juzi Jumatano, Kocha Mkuu wa Simba, Mserbia, …
KLABU ya Yanga imeandika historia nyingine jana Ijumaa, Agosti 19, 2022 baada ya kuingia makubaliano na kusaini mkataba wa miaka miwili wa kufanya kazi na kampuni iliyobobea katika masoko ambayo …