Makala nyingine

Wakati kukiwa na fukuto kwamba huenda Miguel Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga atakutana na mkono wa Thank You, kocha huyo bado yupoyupo kwa kuwa ameanza kuwanoa wachezaji wa timu hiyo …

Ahmed Ally, Meneja wa Idara ya Habari na Mawasiliano Simba amebainisha kuwa ikiwa watani zao wa jadi, Yanga watahama Uwanja wa Azam Complex na kuchagua Uwanja wa KMC, Mwenge basi …

Ali Kamwe, Meneje awa Idara ya Habari na Mawasiliano Yanga amesema kuwa hawakuwa na mchezo mzuri tangu dakika ya kwanza mbele ya Tabora United hivyo wameyapokea matokeo kinyonge wanaamini watarejea …

Ahmed Ally Meneja wa Idara Habari na Mawasiliano Simba amesema kuwa ufungaji wa mabao kwa mshambuliaji wao mpya Steven Mukwala sio wa kawaida kutokana na kufanya maamuzi magumu kwenye nyakati …

Baada ya kucheza michezo nane bila kupoteza wala kuruhusu goli hatimae klabu ya Yanga leo imepoteza mchezo mbele ya klabu ya Azam Fc kunako ligi kuu ya NBC baada ya …

YANGA INA MAAJABU MENGI

Miguel Gamondi, Kocha Mkuu wa Yanga amesema kuwa timu hiyo ina maajabu mengi kutokana na kuwa kwenye ubora katika mechi zote pamoja na wachezaji wanaojituma muda wote. Ikumbukwe kwamba Yanga …

Klabu ya Fountain Gate ina balaa zito kwa kuzipoteza timu zote 15 Bongo katika eneo la utupiaji mabao ikiwa namba moja kwa safu kali ya ushambuliaji. Timu hiyo baada ya …

Uongozi wa Simba umebainisha kuwa utawaliza wengi msimu huu kutokana na uimara wa kikosi walichonacho ndani ya uwanja pamoja na benchi bora la ufundi. Timu hiyo inanolewa na Kocha Mkuu, …

Golikipa nambari moja wa Klabu ya Yanga Djigui Diarra imethibitishwa ataukosa mchezo wa Ligi ya NBC Tanzania bara dhidi ya Coastal Unioni utakaopigwa Shekh Amri Abeid Kaluta jijini Arusha leo. …

Winga wa Simba Joshua Mutale, amesema amefumba macho na kuziba masikio kuhusu watu wanamponda kutokana na kiwango chake kutowaridhisha wengi akisema kuwa akili yake anaelekeza kwenye ufanisi wa kazi iliyomleta …

Mshambuliaji wa klabu ya Simba Lionel Ateba raia wa kimataifa wa Cameroon amesema hana hofu na mabeki wa klabu ya Yanga ila anachojua yeye atafunga mchezo huo na klabu yake …

Klabu ya Liverpool imeendelea kubaki kileleni mwa msimamo wa ligi kuu ya Uingereza baada ya kupata matokeo ya ushindi leo dhidi ya klabu ya Crystal Palace wakiwa katika uwanja wao …

1 2 3 4 5 123 124 125