Makala nyingine

Klabu ya Simba imefanikiwa kusaini mashine nyingine kuelekea msimu ujao ambapo wamefanikiwa kumsajili beki wa kushoto wa klabu ya St. Lupopo kutoka nchini DRC Congo Valentino Nouma. Simba wamemsajili beki …

BAADA ya Yanga kumchukua Clatous Chama kutoka Simba na Prince Dube aliyekuwa Azam FC, sasa inafanya mipango ya kumshusha kikosini, Jean Baleke aliyewahi kuwika na Wekundu wa Msimbazi. Jisajili hapa …

YANGA KUMSHUSHA SOWAH

Kwa mujibu wa Chanzo Cha kuaminika kutoka nchini Ghana kimethibitisha kuwa Mshambuliaji Jonathan Sowah (25) ameshasaini Mkataba wa Mwaka Mmoja wakuitumikia Yanga. Mkataba ambao una kipengele cha Kuongezewa mwaka mwingine …

Uongozi wa Fountain Gate FC unawataarifu mashabiki, wadau wa Soka na Watanzania kuwa itahamia kwenye Uwanja wa Tanzanite Kwaraa uliopo Babati mkoani Manyara kwa muda. Na tutatumia uwanja huo kwanye …

Yanga SC imepanga kumuongezea mkataba wa miaka miwili kocha raia wa Argentina Miguel Gamondi utakaomalizika mwaka 2026.   Yanga wamefikia hatua hiyo baada ya kuridhishwa na ubora wa Kocha huyo, …

Klabu ya Simba imefanikiwa kunasa saini ya kiungo wa kimataifa wa Ivory Coast kutoka klabu ya Stella Abidjan anayefahamika kwa jina la Jean Charles Ahoua mwenye umri wa miaka 22. …

Klabu ya Simba imebadili gia angani na kuacha kutambulisha mchezaji wake saa saba kamili mchana na kutangaza kutangaza mchezaji wake mpya saa kumi na mbili kamili. Simba inaelezwa ilikua na …

Aliyewahi kuwa Mwenyekiti na Mfadhili wa Yanga, Yusuf Manji ambaye alifariki juzi Jumamosi anatarajiwa kuzikwa leo nchini Marekani.  Jisajili hapa kuwa wa kwanza kushinda Mamilioni ya Meridianbet kila siku. Manji …

1 2 3 4 5 6 114 115 116