Makala nyingine

MSHAMBULIAJI John Bocco anatarajiwa kutangazwa wakati wowote kuanzia sasa na JKT Tanzania na tayari amepiga picha za utambulisho na kaingiziwa pesa zake za usajili. Taarifa za ndani kutoka kwa uongozi …

NAHODHA na beki wa kati wa Yanga, Bakari Mwamnyeto ameongeza mkataba mwingine wa miaka miwili wa kuendelea kubakia hapo na mkataba huo Umefanya kuwa Beki ghali zaidi nchini na Afrika …

Beki Joyce Lomalisa baada ya kuitumikia Yanga kwa misimu miwili kwa mafanikio sasa anatajwa kumalizana na Namungo FC kwa ajili ya kuongeza nguvu kwenye kikosi hicho ambacho kinataka kumaliza kwenye …

KIFUPI Dili la Joshua Mutale, mshambuliaji raia wa Zambia la kutua Simba limekamilika na Kuna ukweli wa asilimia 90 kuwa yupo nchini Tanzania Kwa taratibu za kutangazwa. Taarifa ya utofauti …

TAARIFA za uhakika ambazo Meridian Sports imezipata kutoka ndani ya Yanga ni Kwamba, kiungo wao raia wa Ivory Coast Pacome ZouaZoua ameongeza mkataba wa miaka miwili wa kuendelea kuitumikia klabu …

Aliyekuwa mshambuliaji wa Yanga, David Molinga amesema kuwa uamuzi alioufanya kiungo mshambuliaji wa Simba, Clatous Chota Chama wa kutimkia Yanga ni uamuzi sahihi kwa sasa kwani utamfanya kurejesha makali yake …

TAMASHA kubwa la mpira wa Miguu Tanzania na Afrika kwa sasa ‘Simba Day‘ mwaka huu litafanyika Agosti 3 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam badala ya Agosti …

KLABU ya Simba imepanga kumtambulisha kocha mkuu wa klabu hiyo muda wowote kuanzia leo Ijumaa Juni 28, ili kuchuka nafasi ya Abdelhak Benchika aliyeondoka klabuni hapo kwa matatizo ya kifamilia. …

Klabu ya Simba inaendelea kutembeza panga katika kikosi chake kwajili ya kusafisha kikosi hicho na kuleta wachezaji wapya ambao watakua bora kuisaidia timu hiyo msimu ujao. Klabu ya Simba imekua …

1 2 3 4 5 6 7 114 115 116