Polisi Tanzania Kujiuliza Kesho Dhidi ya Singida Big Stars

Katika mwendelezo wa Ligi kuu ya NBC klabu ya Polisi Tanzania baada ya kutoa sare ya kufungana mechi iliyopita, Kesho atakuwa nyumbani kukipiga dhidi ya Singida Big Stars majira ya saa 10:00 jioni.

 

Polisi Tanzania Kujiuliza Kesho Dhidi ya Singida Big Stars

Polisi ambaye amecheza michezo 10, yupo nafasi ya 14, baada ya kushinda mchezo mmoja, sare tatu na amepoteza michezo  sita mpaka sasa huku akijikusanyia pointi sita pekee.

Kesho ana kibarua kizito sana mbele ya Singida kwani wana wachezaji wazoefu na wenye ubora kuwazidi wao wakiwa nafasi ya saba baada ya michezo nane huku wakiwa na pointi 14 kibindoni.

Polisi Tanzania Kujiuliza Kesho Dhidi ya Singida Big Stars

Pia Singida ametoka kushinda mechi yake iliyopita huku kesho akihitaji pointi tatu hizo ili aweze kujiweka kwenye nafasi nzuri. Lakini maswali yanakuja Polisi atakubali kupoteza mechi hiyo wakati bado ana hali mbaya na anahitaji pia alama hizo?


aviator

Ulishawahi kuwaza kuwa rubani wa maisha yako!! Kuwa rubani wa mchezo pendwa wa Aviator wa kasino mtandaoni. Aviator bonanza inazidi kutoa michongo ya mkwanja kwenye nyumba ya mabingwa. Unarusha ndege yako na unashinda, kuwa rubani wa kujivunia kwa kuibuka na mkwanja leo.

BONYEZA HAPA

Acha ujumbe