Ligi kuu ya Tanzania Bara kuendelea hii leo kwa mchezo mmoja kati ya Polisi Tanzania dhidi ya Mbeya City majira ya saa 10:00 jioni.

 

Polisi Tanzania Kujiuliza Mbeya City Leo

Polisi Tanzania ambao bado wana hali mbaya kwenye ligi wakishika nafasi ya 15 baada ya kushinda mchezo uliopita na kutoka nafasi ya mwisho wanahitaji ushindi hii leo ili kuweza kujiokoa huko walipo. ODDS KUBWA unazipata Meridianbet pekee.


Wakati kwa upande wa Mbeya City wao wametoka kupata sare mchezo wao uliopita, wapo nafasi ya kumi wakiwa wamejikusanyia pointi zao 24, baada ya kushinda michezo mitano, sare tisa na kupoteza mara tisa.

Huku Maafande wao wana pointi 19 kwenye michezo yao 23 waliyocheza, ushindi mara nne, sare saba na wamepoteza michezo yao 12 hadi sasa.

Polisi Tanzania Kujiuliza Mbeya City Leo

Mara ya mwisho kukutana timu hizi, Mbeya alishinda nyumbani kwa mabao mengi. Je leo hii inaweza ikawa ni nafasi nzuri kwa Maafande kulipa kisasi huku akizingatia yupo nafasi mbaya kwenye msimamo?. Endelea kucheza Kasino ya mtandaoni Poker, Roulette, Aviator hii yote inakusubiri wewe.

 

 


JIBU

Tafadhali andika maoni yako
Tafadhali andika jina lako hapa