IKIWA Zimebaki siku kadhaa 33 Simba SC kucheza mchezo wake wa kwanza wa klabu bingwa akianzia ugenini dhidi ya Horoya AC ya Guinea Februari 10, 2023 Bashiri na Meridianbet mechi hii Odds za Soka ni Bomba. Klabu hiyo imeamua kuweka kambi ya muda mfupi huko Falme za Kiarabu-Dubai. Pata Odds za Soka hapa.
Baada ya kuoneolewa kwenye kombe la mapinduzi jana Januari 6, 2023 Simba waliwasili Jijini Dar Es Salaam na jioni hiyo hiyo taarifa kutoka klabuni hapo ilitoka ikieleza kuwa Rais wa heshima Mohammed Dewji MO ameialika klabu hiyo kwenda Dubai kuweka kambi.
Kikosi cha Mnyama kinatarajiwa kusafiri leo alasiri majira ya saa 9, kikiwa na wachezaji pamoja na benchi la ufundi lililokamilika likiongozwa na kocha Mbrazil Robertinho.
Ikiwa Ligi ya NBC Tanzania bara imesimama na ikitarajiwa kurejea baada ya kutamatika kwa kombe la mapinduzi, Wana Lunyasi wao wameamua kujichimbia Uarabuni. Unaweza kubashiri Mubashara na Meridianbet Bonyeza hapa.
Mapema tu wakiwa wamecheza mechi moja dhidi ya Mlandege ilitosha kuwafanya Simba kuaga mashindano hayo wakiwa ni kama mabingwa watetezi, na hatimaye jana Yanga wameondoshwa na Singida Big Star kwa utofauti wa magoli ya kufunga na kufungwa. Tembelea maduka ya kubashiri ya Meridianbet uweke ubashiri wako. Odds za soka ni kubwa.